DENI LASABABISHA UHABA MKUBWA WA MAFUTA NIGERIA

Kampuni ya Kitaifa ya Petroli ya Nigeria (NNPC Ltd) inakabiliwa na matatizo ya kifedha, ambayo yameweka shinikizo kubwa kwa makampuni ya usambazaji mafuta na kusababisha tishio kwa uendelevu wa usambazaji wa mafuta.

Olufemi Soneye, Afisa Mkuu wa Mawasiliano wa Kampuni ya NNPC Ltd, alifahamisha haya katika taarifa Jumapili, akikubali ripoti katika magazeti ya kitaifa kuhusu deni kubwa la takribani $6 Bilioni kwa wasambazaji wa petroli.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *