Aliyekuwa mpenzi wa Aziz Ki ajifungua mtoto wa kiume.

Aliyekuwa mpenzi wa kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki muigizaji Mtanzania Vanessa Mmasa amejifungua mtoto na kupongezwa na baadhi ya wachezaji wa Yanga Pacome Zouzoua pamoja na Atouhala Yao Yao.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo BAMBA DIGITAL imezipata inasemekana mwanadada huyo amejifungua mtoto wa kiume.

Ikumbukwe miezi michache nyuma muigizaji huyo alikuwa akionekana kuwa karibu na kiungo huyo na kuonekana pia siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Aziz Ki akifanyiwa surprise na mrembo huyo aliyekuwa anatajwa kuwa mpenzi wake.

Swali ni je baba wa mtoto huyo atakuwa ni Aziz Ki ?.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *