AZAM FC YATAJA UGUMU WA APR ULIPO
BENCHI la ufundi la Azam FC limebainisha kuwa lina kazi kubwa yakufanya kuelekea mchezo wa marudio dhidi ya APR ya Rwanda unaotarajiwa kuchezwa Agosti 24 2024 huku likiweka wazi kuwa ugumu wa kupata matokeo mbele ya wapinzani wao ni eneo la ulinzi kutokana na namna ambavyo wanajipanga. Ipo wazi kwamba mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa…