Soka ingekuwa kazi yangu kama nisingetoboa kwenye muziki – Wizkid

Kutoka Nigeria mkali wa miondoko ya Afrobeats na mshindi wa tuzo za Grammy, Wizkid, ameweka wazi kuwa mpira wa miguu ndio ingekuwa kazi yake pendwa kama asingetoboa kwenye muziki. “Kama nisingekuwa mwanamuziki ningekuwa mchezaji mpira, nacheza mpira mzuri sana na niliwahi kuwa kwenye kikosi cha shule niliyosoma”, aliongea kwa kujitamba Wizkid. Mwanamuziki huyo amesema ana…

Read More

Aliyekuwa mpenzi wa Aziz Ki ajifungua mtoto wa kiume.

Aliyekuwa mpenzi wa kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki muigizaji Mtanzania Vanessa Mmasa amejifungua mtoto na kupongezwa na baadhi ya wachezaji wa Yanga Pacome Zouzoua pamoja na Atouhala Yao Yao. Kwa mujibu wa taarifa ambazo BAMBA DIGITAL imezipata inasemekana mwanadada huyo amejifungua mtoto wa kiume. Ikumbukwe miezi michache nyuma muigizaji huyo alikuwa akionekana kuwa karibu…

Read More