Marekani inaamini Iran itaanza kuitwanga Israel muda wowote kuanzia leo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amewaambia viongozi wenzake wa G7 kwamba Washington inaamini kwamba mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel yanaweza kuanza ndani ya saa 24 hadi 48 zijazo, huku Marekani ikiendelea na juhudi za kutuliza hali ya wasiwasi katika eneo na kujaribu kuzuia vita. Marekani inaamini kuwa shambulio la Iran…