Binti Aliyemkata Koromeo Mtoto Akamatwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefanikiwa kumkamata Clemensia Cosmas Mirembe (19) ambaye anatuhumiwa kumjeruhi kwa kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni mtoto Malick Hashim (6) anayeishi eneo la Goba Kinzudi, Kinondoni. Tukio hilo lilitokea Julai 17, 2024 ambapo binti huyo ambaye alikuwa dada wa kazi alimjeruhi mtoto kisha baada…

Read More

Waandamanaji wavamia gereza na kuwaachilia mamia ya wafungwa

Waandamanaji nchini Bangladesh wamevamia gereza siku ya Ijumaa na kuwaachilia “mamia” ya wafungwa kabla ya kulichoma moto gereza hilo, afisa wa polisi ameliambia shirika la habari la AFP.   “Wafungwa wametoroka gereza na waandamanaji wamechoma moto gereza”, afisa wa polisi amesema, akizungumza kwa sharti la kutotajwa. “Sijui idadi ya wafungwa waliotoroka lakini itakuwa mamia,” ameongeza….

Read More

Zelensky aomba ruhusa ya kuipiga urusi kwa makombora ya magharibi

Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky ametoa wito kwa washirika Katika mkutano na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer na baraza lake la mawaziri, kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za Magharibi katika ardhi ya Urusi. “Muhimu kwa hili ni silaha za masafa marefu. Tafadhali washawishi washirika wetu wengine kuondoa vizuizi, “Zelensky alimueleza Bw Starmer, akimaanisha kuruhusu mashambulizi…

Read More