Samia Suluhu

Bei ya Mahindi Sasa Si Tatizo Tena

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Samia Suluhu Hassan imetatua changamoto ya bei elekezi ya mahindi mkoani Katavi iliyolalamikiwa kwa muda Kupitia Wizara ya Kilimo na Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Hussein Mohamed Bashe amesema bei ya wakulima kuanzia leo Vituo vyote vya ofisi ya wataalamu wakala wa…

Read More

Milio ya risasi inaripotiwa kufyatuliwa kwenye mkutano wa Donald Trump

Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia baada ya milio ya risasi kufyatuliwa kwenye mkutano wa hadhara wa Donald Trump huko Pennsylvania – huku rais wa zamani aliyejeruhiwa akikimbia kutoka jukwaani na walinzi wenye silaha. Wakili wa Wilaya ya Butler aliiambia Associated Press (AP) kwamba mpiga risasi alikuwa amekufa na kwamba mhudhuriaji wa mkutano pia aliuawa. Mtu…

Read More