RAHEEM STERLING WA ARSENAL AJA KIVINGINE ABATIZWA NA KUGEUKIA UKRISTO

Mchezaji wa Asernal aliyejiunga kwa mkopo kwenye klabu hiyo akitokea Chelsea Raheem Sterling Muingereza mwenye asili ya Jamaica amebatizwa na kubadilisha imani yake katika Dini ya Kikisto. Baadhi ya video zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha Sterling akiwa na mavazi meupe akibatizwa huko nyumbani kwao nchini Jamaica alipozaliwa.   Sterling amesema amefanya uamuzi huo baada…

Read More
Brazil na Argentina

BRAZIL NA ARGENTINA ZAPASUKA VIBAYA HUKO AMERIKA KUSINI

Usiku wa kuamkia leo mataifa mawili makubwa kwenye soka kutokea Bara la Amerika Kusini Brazil na Argentina yamechezea vichapo kwenye michezo ya kufuzu Kombe la Dunia inayoendelea Barani humo. Mapema kabisa ilikuwa Argentina ambao wao wamejikuta wakichapwa goli 2-1 na timu ya taifa Colombia kwenye mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Estadio Metropolitano Roberto Meléndez huko…

Read More
Baada ya mfululizo wa matokeo mabaya kwenye ligi kuu Tanzania bara na michezo ya kuwani kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Azam leo septemba imefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wao mkuu Youssuph Dabo raia wa Senegal. 

Dabo atimuliwa rasmi Azam

Baada ya mfululizo wa matokeo mabaya kwenye ligi kuu Tanzania bara na michezo ya kuwani kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Azam leo septemba imefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wao mkuu Youssuph Dabo raia wa Senegal. Daboi ambaye amehudumu Azam kwa kipindi cha mwaka mmoja…

Read More