
MSIMAMO WA FEISAL KWA AZAM FC
Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema licha ya kuondolewa mapema katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, anaamini timu hiyo ina kikosi bora chenye ushindani na nafasi yao mwisho wa msimu kwenye ligi iko palepale. . “Hakuna mchezaji ambaye alitamani tuishie njiani, tulikuwa na malengo makubwa lakini imeshatokea, hatujakata…