Davido azindua mtandao wake wa kijamii uitwao ‘Chatter’

Nyota wa muziki wa Afrobeats kutoka Nigeria, Davido, amezindua ‘App’ yake ya mtandao wa kijamii iitwayo Chatter.

Davido alitangaza uwepo wa ‘App’ hiyo kupitia mtandao wake wa kijamii wa X (zamani Twitter) mapema leo Ijumaa.

Mwanamuziki huyo ameweka wazi kuwa anamiliki mtandao huo kwa ushirikiano na rafiki yake wa karibu aitwae Sir Banko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *