Msanii wa muziki wa Bongofleva, Gift Stanford ‘Gig Money’ anasema hata hajui kama yuko kwenye mahusiano ama la.
“Mimi hata sijui kama nipo kwenye uhusiano, maana mpenzi niliye naye sasa haeleweki, mara tupo pamoja mara hatupo pamoja, kiufupi liuhusiano langu halieleweki au siko kwenye uhusiano.”