NAFANYA MAZOEZI KUJIWEKA FITI, SHEPU NI ASILI YANGU

Msanii wa Bongo Movie, Kajala Masanja anasema ni miaka nane sasa tangu amejijengea tabia ya kufanya mazoezi, na anafanya ili kujiweka fiti ingawa wapo wanaodhani anafanya mazoezi ili kutafuta shepu.

Kwa upande wa shepu, Kajala amesema anamshukuru Mungu kwani tayari anayo na si ya kutengeneza bali amejaaliwa.

“Mazoezi ni kitu ambacho kipo kwenye damu yangu, sio nafanya kwa ajili ya kutengeza shepu kama baadhi ya watu wanavyodhani wakati shepu ni asili yangu.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *