Nicki Minaj adaiwa fidia ya Bilioni 13 kwa kumkashifu shabiki

Malkia wa Rap, Nicki Minaj anakabiliwa na kesi ya fidia ya Dola milioni 5 (sawa na shilingi Bilioni 13.5) kutoka kwa mmoja wa mashabiki wake, ambaye anadai kuwa alimkashifu kwa kumuita “maskini na mgonjwa wa akili”.

Shabiki huyo anasema maneno hayo aliyoambiwa na Nicki Minaj yamemuathiri kihisia na kumletea msongo mkubwa wa mawazo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *