
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 07, 2024
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania Kitaifa na kurasa za kimichezo, pamoja na gazeti la Michezo ya leo August 07, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania Kitaifa na kurasa za kimichezo, pamoja na gazeti la Michezo ya leo August 07, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Daftari la kuandikia mistari ya wimbo la Rapa wa Marekani Lil Wayne ambalo alikuwa akilitumia mwaka 1999 wakati akiwa na umri wa miaka 17, sasa linauzwa kwa $5M (Sawa na shilingi Bilioni 13.5 za kitanzania) Inaelezwa kuwa Daftari hilo lilipatikana kwenye gari la Cash Money Records, limeharibika kidogo kutokana na maji kutoka kwenye Kimbunga cha…
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Bw. Daniel Chongolo, amewataka vijana mkoani humo kuacha kushawishika na kutumiwa na baadhi ya watu wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi, hasa kuelekekea kipindi cha uchaguzi kwani vitendo hivyo vitasababisha kupata viongozi wasiokuwa na sifa. Bw. Chongolo amayasema hayo wakati akizungumza na makundi mbalimbali ya vijana mkoani humo, wakiwemo Umoja wa…
Aliyekuwa mpenzi wa kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki muigizaji Mtanzania Vanessa Mmasa amejifungua mtoto na kupongezwa na baadhi ya wachezaji wa Yanga Pacome Zouzoua pamoja na Atouhala Yao Yao. Kwa mujibu wa taarifa ambazo BAMBA DIGITAL imezipata inasemekana mwanadada huyo amejifungua mtoto wa kiume. Ikumbukwe miezi michache nyuma muigizaji huyo alikuwa akionekana kuwa karibu…
Kamala Harris amemchagua gavana wa Minnesota Tim Walz, kuwa mgombea mwenza wake katika uchaguzi wa rais wa Marekani, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti. Bi Harris na mgombea mwenza wake wanatarajiwa kuanza ziara ya kampeni katika majimbo yanayosadikiwa kuwa na ushindani mkali, mkutano wa kwanza ukipangwa kufanyika huko Philadelphia baadaye leo. Kura ya maoni ya…
Mwanamume mwenye umri wa miaka 45 nchini Indonesia anadaiwa kumpiga jirani yake mwenye umri wa miaka 60 hadi kufa baada ya kukasirishwa na ung’ang’anizi wa jamaa huyo wa kumuuliza kwa nini bado alikuwa mseja. Inasemekana mshtakiwa alienda nyumbani kwa jirani yake akiwa amebeba kipande cha mbao na kuanza kumshambulia mwathiriwa bila tahadhari. Akihojiwa…
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania Kitaifa na kurasa za kimichezo, pamoja na gazeti la Michezo ya leo August 06, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
MUDATHIR Yahya kiungo wa Yanga ubora wake uleule unaendelea msimu wa 2024/25 kwa mujibu wa Maulid Kitenge ameweka wazi kuwa kwa Muda simu zitaita sana. Agosti 4 katika utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa na kikosi cha Yanga msimu wa 2023/24 kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi wakati ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 2-1 Red…