
Enekia, Nyota wa Twiga Stars ajiunga na timu ya Ligi Kuu Mexico
Baada ya kutamba kwenye ligi kuu za nchi mbalimbali kuanzia Tanzania, Morocco na Saudi Arabia, nyota wa kimataifa wa Tanzania, Enekia Lunyamila amejiunga na klabu ya Mazaltan inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Mexico kwa mkataba wa miaka miwili. Kiraka huyo msimu uliopita alikuwa akiitumikia Eastern Flames ya Saudia ambayo ilimaliza nafasi ya saba kati…