Skip to content
08/06/2025
  • Habari za Magazeti ya Tanzania leo October 12, 2024
  • Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
  • Drake apiga hatua kubwa ya streams kwenye jukwaa la Spotify
  • ‘Gareth Southgate ndiye chaguo la wazi’kuwa mbadala wa Ten Hag
BAMBA DIGITAL

BAMBA DIGITAL

Feel at Home

  • Home
  • Entertainment
  • Top Storie
  • News
  • Magazeti
  • Contact Us
  • English Premier League Table 2024-25
YOUTUBE
Headlines
  • Habari za Magazeti ya Tanzania leo October 12, 2024

    8 months ago
  • Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

    8 months ago
  • Drake apiga hatua kubwa ya streams kwenye jukwaa la Spotify

    8 months ago8 months ago
  • ‘Gareth Southgate ndiye chaguo la wazi’kuwa mbadala wa Ten Hag

    8 months ago
  • Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 01, 2024

    8 months ago
  • Waliotumwa na Afande wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela, ‘Kesi ya Binti wa Yombo’

    8 months ago8 months ago

Highlight News

  • Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 28, 2024

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.          

Read More
  • Sports

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA YANGA MSIMU WA 2024/2025

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Yanga Sc wametambulisha uzi wao mpya wa nyumbani utakaotumika msimu wa 2024/25 🔰 Jezi ambazo bado zinatengenezwa na Mbunifu wao Sheria Ngowi na bado zimekua jezi pendwa kwa wananchi zenye ubunifu.      

Read More
  • News

Serikali yalifungia kanisa la Kiboko ya Wachawi

chikao chikao11 months ago10 months ago03 mins

Serikali imeagiza kufungwa Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, lililopo Buza Kwa Lulenge.   Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kanisa hilo kwenda kinyume cha taratibu za usajili.   Barua hiyo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia…

Read More
  • Lifestyle

Bahati Bukuku Afunguka Juu ya Uwoya Kuokoka

chikao chikao11 months ago10 months ago02 mins

Mwimbaji mkongwe wa muziki wa Injili Bongo, Bahati Bukuku amefunguka kuhusu Irene Uwoya kuokoka na kuwa Mchungaji. “Kitendo cha Irene Uwoya kuokoka na kuamua kuwa Mchungaji ni kitendo cha Kimungu zaidi watu wasichukulie poa. Sio rahisi mtu kama Irene Uwoya kuamua kubadilika na kumrudia Mungu, kwa ufahari wake angeweza hata kufanya maovu mengine ya dunia…

Read More
  • Entertainment

Sijawahi kutamka neno ‘Nakupenda’ kwa mtu yeyote – Falz

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Katika hali ya kushangaza Rapa wa Nigeria Falz, amedai kuwa hajawahi kuwa na upendo na mtu yeyote.   Akizungumzia maisha yake ya mapenzi katika mahojiano na Podcast ya Menisms, Rapa huyo alisema hajawahi kufikia hatua katika mahusiano ya kutamka neno ‘I LOVE YOU / NAKUPENDA’.   “Sijawahi kusema NAKUPENDA kwa mtu yeyote, yaani sijawahi kuwa…

Read More
  • News

Dereva afia kwenye gari baada ya kuwasha jiko la mkaa ili kuota moto

chikao chikao11 months ago02 mins

Thadei Mbawala, mkazi wa Mtaa wa Mjimwema, Halmashauri ya Mji Njombe, mkoani hapa, amefariki dunia ndani ya gari baada ya kuwasha mkaa ili kuota moto na kupitiwa na usingizi.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi (ACP) Mahamoud Banga, alithibitisha jana kutokea kwa tukio hilo juzi majira ya saa moja asubuhi ambapo pembeni…

Read More
  • Sports

Ubora Mukwala na Ahoua utarahisisha kazi ya Fadlu – Hans van der Pluijm

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Kocha wa zamani wa Yanga, Hans van der Pluijm amewataja Steven Mukwala na Jean Charles Ahoua kama maingizo mapya katika kikosi cha Simba ambayo yanaweza kurahisisha kazi kwa kocha Fadlu kutokana na ubora ambao ameona kutoka kwao, na amekuwa akivutiwa nao.   “Makocha tumekuwa wafuatiliaji, nipo Ghana lakini huwa nafuatilia ligi za nchi mbalimbali, najua…

Read More
  • Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 27, 2024

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.          

Read More
  • 1
  • …
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • …
  • 41
© 2024 BAMBA DIGITAL. All Rights Reserved. Powered By BlazeThemes.