Binti mfalme atoa talaka

Binti Mfalme wa Dubai Ampa Talaka Tatu Mumewe Kupitia Instagram

Binti wa mtawala wa Dubai Sheikha Mahra Bint Mohammed Bin Rashid Al Maktoum ameonekana kustaajabisha wengi baada ya kutangaza kumtaliki mumewe Mohammed Bin Rashid bin Mana Al Maktoum, kupitia ujumbe wa talaka tatu aliouandika kwenye Instagram. Ameandika “Mpendwa Mume wangu, kwa kuwa unashughulika na wenza wengine, ninatangaza talaka yetu. Ninakupa talaka, ninakupa talaka, na ninakupa…

Read More

Sasa Itakuaje ?…!Mama Dangote amuambukiza Uncle Shamte Maradhi.

Sa Itakuaje…? Mume wa Mama Dangote mama mzazi wa Diamond Platnumz leo hii amefunguka  kuwa mwanamama huyo amempa maradhi  baada ya vipimo kutoka. Uncle Shamte kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika ujumbe huku akiambatanisha na picha ya Mama Dangote unaosemeka kama ifuatavyo… Majibu ya vipimo vyote vinaonesha ya kwamba MARADHI yangu ni wewe tu. 1)…

Read More