
Mama ahukumiwa jela kwa kumlazimisha binti yake kuolewa.
Mama mwenye umri wa miaka 40 Sakina Muhammad Jan raia wa Australia amekuwa mtu wa kwanza kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kukutwa na hatia ya kumshurutisha binti yake mwenye umri wa miaka 21 kuolewa na mwanaume ambaye baadae alimuua. Mwanamama huyo alipatikana na hatia ya kumlazimisha Ruqia Haidari kuolewa na Mohammad Ali…