Diamond kuisimamisha Barcelona kwa ‘Show’ kali leo

Msanii maarufu zaidi wa muziki nchini Tanzania Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo usiku atafanya onyesho kubwa la muziki lililoandaliwa na Afrobrunch jijini Barcelona nchini Hipania.   Diamond ambaye kwasasa anatamba na ngoma ya ‘Komasava’ aliyowashirikisha wasanii wa kimataifa kama Jason Derulo wa Marekani, Khalil Harison na Chley Nkosi wa Afrika kusini atapanda jukwaani kwenye ‘shoe’…

Read More

GAMONDI APANIA KUITANGAZA YANGA DUNIA NZIMA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amebainisha kuwa uwepo wao Afrika Kusini una faida kubwa kutokana na kucheza mechi za ushindani ambazo ni muhimu kuelekea msimu mpya huku wakiitangaza timu hiyo duniani kote.   Gamondi aliongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuinoa Yanga yenye maskani yake Jangwani, Kariakoo inatarajiwa kurejea Bongo ikikamilisha mchezo dhidi ya…

Read More