Skip to content
07/06/2025
  • Habari za Magazeti ya Tanzania leo October 12, 2024
  • Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
  • Drake apiga hatua kubwa ya streams kwenye jukwaa la Spotify
  • ‘Gareth Southgate ndiye chaguo la wazi’kuwa mbadala wa Ten Hag
BAMBA DIGITAL

BAMBA DIGITAL

Feel at Home

  • Home
  • Entertainment
  • Top Storie
  • News
  • Magazeti
  • Contact Us
  • English Premier League Table 2024-25
YOUTUBE
Headlines
  • Habari za Magazeti ya Tanzania leo October 12, 2024

    8 months ago
  • Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

    8 months ago
  • Drake apiga hatua kubwa ya streams kwenye jukwaa la Spotify

    8 months ago8 months ago
  • ‘Gareth Southgate ndiye chaguo la wazi’kuwa mbadala wa Ten Hag

    8 months ago
  • Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 01, 2024

    8 months ago
  • Waliotumwa na Afande wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela, ‘Kesi ya Binti wa Yombo’

    8 months ago8 months ago
  • Home
  • BambaDigital
  • Page 15

Highlight News

BambaDigital

  • Entertainment

“Wasanii Rudisheni Mikopo” – Mh Hamis Mwinjuma

chikao chikao11 months ago10 months ago02 mins

Naibu Waziri wa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma mwanafa Ametoa agizo kwa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania Ukutane na wasanii walionufaika na mkopo wa fedha kupitia mfuko huo na mpaka sasa hawajarejesha. Hil linajiri kabla ya kuandishwa kwa utaratibu mpya wa kutumia Akaunti za Benki kukopesha wasanii ukiwa ni…

Read More
  • Entertainment

Muna Love Ajifungua Mtoto Mwingine wa Kiume.

chikao chikao11 months ago10 months ago02 mins

Muna Love amechapisha picha kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na mtoto wake mchanga kwenye moja ya Hospitali nchini Canada na kuambatanisha na andiko lililowagusa wengi huku akimshukuru Mungu kwa kumpatia mtoto mwingine na kumkabidhi mikononi mwa Yesu akiahidi kuwa mtoto huyo atatumika kulitangaza jina la Yesu pamoja na mama yake. Msanii huyo kupitia waraka…

Read More
  • Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 24, 2024

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 24, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.                

Read More
harmonize
  • Entertainment

Harmonize: Nikiacha muziki, nitakuwa daktari

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Harmonize, Mmiliki wa Kundi la Konde Music kwa mara ya kwanza ameeleza ndoto yake ya kile anachopanga kukifanya baada ya kustaafu kazi yake ya muziki. Katika mahojiano, msanii huyo alieleza kuwa anafahamu kabisa kuwa hatakuwepo kwenye tasnia ya muziki milele na tayari amebainisha ni kitu gani ataridhika nacho pindi taaluma yake ya muziki itakaposhuka. “Nimewaza…

Read More
Kibu Denniss Simba
  • Sports

Kibu hajaripoti kambini, tutamuadhibu – Simba

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Klabu ya Simba leo Julai 23,2024 imetoa taarifa kuwa Mchezaji wake, Kibu Denis Prosper hajaripoti kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa mwaka 2024/2025. “Tunapenda kuutarifu umma kuwa Simba tulimuongezea Kibu mkataba wa miaka miwili zaidi utakaoishia June 2026 na kumlipa stahiki zake zote za kimkataba, hata hivyo Mchezaji huyu amekuwa akitoa sababu…

Read More
  • Entertainment

Davido aweka almasi yenye thamani ya Bilioni 1 kwenye meno.

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Msanii wa Afrobeat kutoka Nigeria Davido ameendelea kuonyesha jeuri ya pesa zake baada ya kuweka Almasi kwenye meno yake yenye thamani ya Billion 1.3 sawa na dola 500k. Sambamba na hilo msanii huyo amemzawadia meneja wa mke wake Ubi Franklin gari jipya aina ya GAC Jeep. Ubi Franklin alichapisha video kwenye ukurasa wake wa instagram…

Read More
  • News

MARA EMOVIS: Ng’ombe aliyeuzwa kwa shilingi Bilioni 11 avunja rekodi ya dunia

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Ng’ombe aliyewahi kuuzwa kwa bei kubwa zaidi duniani anafahamika kwa jina la ‘MARA EMOVIS’ aliweka rekodi ya dunia baada ya kuuzwa kwa dollar milioni 4 (sawa na shilingi Bilioni 11 za kibongo) kwenye mnada uliofanyika nchini Brazil mwaka 2023. Sifa za ng’ombe huyo ni ustahimilivu wao katika hali ya hewa, joto, kukabiliana na mazingira ya…

Read More
  • News

INATISHA: Wakubali kunyanyaswa kingono ili wapate chakula

chikao chikao11 months ago10 months ago01 mins

Wanawake kadhaa waliokimbia mji wa Omdurman nchini Sudan wamesema kuwa kufanya mapenzi na wanajeshi ndiyo njia pekee inayowawezesha kupata chakula au bidhaa ambazo wataweza kuuza ili kupata pesa za kulisha familia zao, limeripoti gazeti la Guardian la nchini Uingereza. Muathiriwa mmoja alisema matukio hayo hufanyika katika baadhi ya viwanda ambako chakula cha akiba ya nchi…

Read More
  • 1
  • …
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • …
  • 27
© 2024 BAMBA DIGITAL. All Rights Reserved. Powered By BlazeThemes.