
AZIZ KI ATOBOA UKARIBU WAKE NA CHAMA ULIPOANZIA
MFUNGAJI Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, aziz ki, amefichua siri baina yake na mchezaji mpya kwenye klabu hiyo, Clatous Chama kuwa kila mmoja alitaka kucheza timu moja na mwenzake. Aziz Ki, ambaye msimu uliopita alikuwa mchezaji tegemeo kwenye kikosi hicho, akiibuka pia mfungaji bora wa Ligi Kuu kwa kupachika mabao 21, amesema…