
Wamarekani wapinga kuhusika na maandamano Kenya.
Shirika la Marekani la Ford Foundation limekanusha madai ya Rais William Ruto kwamba linafadhili maandamano ya kupinga serikali yanayoendelea kwa wiki kadhaa nchini humo huku makumi ya raia wakipoteza maisha. Hii ni baada ya Rais William Ruto kuishutumu taasisi hiyo wakati akiwa katika hafla moja katika mji wa Nakuru kuwa inafadhili maandamano hayo na kulitaja…