Alcaraz atwaa tena Ubingwa wa Wembledon dhidi ya Djokovic
Nyota wa mchezo wa Tenisi na aliyekuwa bingwa mtetezi wa taji la tennis la Wembledon Carlos Alcaraz raia wa Hispania ametwaa tena Ubingwa wa Michuano ya Wimbledon 2024 ikiwa ni mara ya pili mfululizo kwake akimsafisha kwa seti zote 3-0 kwa ushindi wa seti 6-2, 6-2 na 7-6 dhidi ya mpinzani wake wa finali zilizopita…