Alexis Sanchez

ALEXIS SANCHEZ AREJEA INTER

Alexis Sanchez amerejea Udinese siku ya Jumamosi baada ya mshambuliaji huyo wa Chile kunyofolewa na mabingwa wa Serie A Inter Milan. Katika taarifa yake, Udinese inesema kuwa Sanchez, 35, alitia saini mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo ambapo ilimfanya achomoze katika soka la Ulaya. Sanchez alisajiliwa kwa mara ya kwanza Udinese mwaka 2006 na…

Read More

Tanzia…! Msanii Mandojo afariki dunia

Msanii wa Bongofleva Mandojo amefariki dunia leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma. Msanii mwenzake aliyefanya naye kazi kwa ukaribu Domokaya na Soggdoggyanter wamethibitisha taarifa hiyo ya kifo cha Mandojo. Kwa mujibu wa taarifa za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea mtafaruku kati yake na mtu mmoja…

Read More