Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 06, 2024
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania Kitaifa na kurasa za kimichezo, pamoja na gazeti la Michezo ya leo August 06, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania Kitaifa na kurasa za kimichezo, pamoja na gazeti la Michezo ya leo August 06, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
MUDATHIR Yahya kiungo wa Yanga ubora wake uleule unaendelea msimu wa 2024/25 kwa mujibu wa Maulid Kitenge ameweka wazi kuwa kwa Muda simu zitaita sana. Agosti 4 katika utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa na kikosi cha Yanga msimu wa 2023/24 kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi wakati ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 2-1 Red…
Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia alfajiri ya leo Agosti 4, 2024 katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Wilaya ya Mlandizi mkoani Pwani. Taarifa zinaeleza kuwa gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T213 DQD lilipata hitilafu ya kiufundi na kuligonga gari aina ya Jeep alilokuwemo tajiri huyo…
Jeshi la Polisi limetangaza kuanza kulifanyia kazi tukio hilo ovu na la kulaaniwa lililosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likimwonyesha binti anayesemekana ametokea Yombo Dovya Jiji la Dar es Salaam akidhalilishwa na kufanyiwa ukatili ambao haukubaliki kwani ni kinyume cha sheria, maadili ya Mtanzania na Haki za Binadamu. Taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao…
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania Kitaifa na kurasa za kimichezo, pamoja na gazeti la Michezo ya leo August 05, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Leo tarehe 3 August 2024 ni siku ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na wanachama, mashabiki na wapenzi wa Simba, kwenye kusherehekea siku yao pendwa na Simba Day, ambapo meneja habari na mawasiliano wa Simba Ahmed Ally aliingia kwa aina ya kipekee akiwa na wamasai pia akivalia mavazi ya kimasai. Simba Day “Ubaya Ubwela” huu ni…
Tazama picha za Matukio ya Wanasimba kwenye Ubaya Ubwela Simba Day
Matukio kwenye Simba Day, wanasimba tayari kwenda kushihudia burudani ya Ubaya Ubwela.