Huu ni ujumbe wa Msanii na Mtangazaji wa Wasafi FM, Baba Levo katika siku ya kuzaliwa mke wake, Salma.
Happy birthday mke wangu wangu Salma Mdoli mama Ruby!.
Nina mengi ya kuongea upendo wako kwangu, uvumilivu wako kwangu nikianza kuongea naamini nitajaza kitabu!.
Ila kwa sasa naomba nikuvushe kwenye hadhi mke nikuweke kwenye level ya juu kabisa wewe kwangu sio mke tu bali ni (life partner).
Wewe ndio umeshika asilimia 60 ya maisha yangu…!!.
Ongeza maombi kwa Mungu wetu ili tumalize ujenzi wa nyumba zetu zote salama!.
Mungu atujalie kila kitu kiende sawa sawa na kama tulivyopanga 🙏🙏🙏
Nakupenda sana mama Ruby ❤️❤️❤️