Mazishi ya Mandojo kufanyika Manyoni mkoani Singida

Taarifa zilizotufikia zinasema mazishi ya aliyekuwa mwanamuziki na mfanyabiashara Joseph Francis, maarufu kwa jina la ‘Mandojo’ yatafanyika Manyoni, mkoani Singida sehemu ambapo alikulia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *