Basi jipya la Coastal Union ni unyama sana

Klabu ya Coastal Union inasemekana wameagiza basi kwaajili ya usafiri wa timu yao kwenye mechi za ligi kuu na mashindano mengine.

Picha zinazotajwa kuwa za basi hilo jipya la klabu hiyo zimesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huku zikiwa na maandishi yenye jina la klabu hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *