AHMED ALLY AINGIA KWENYE SIMBA DAY NA WAMASAI

Leo tarehe 3 August 2024 ni siku ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na wanachama, mashabiki na wapenzi wa Simba, kwenye kusherehekea siku yao pendwa na Simba Day, ambapo meneja habari na mawasiliano wa Simba Ahmed Ally aliingia kwa aina ya kipekee akiwa na wamasai pia akivalia mavazi ya kimasai.

Simba Day “Ubaya Ubwela” huu ni ubunifu wa kipekee tumekuwekea hapo chini picha, lakini ikumbukwe tu ya kwamba katika Simba Day ya mwaka 2023, Ahmed aliingia na Ngamia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *