AISHA MASAKA MAGOLI ATUA BRIGHTON YA UINGEREZA

Aisha Masaka Brighton

Timu ya wanawake ya Brighton & Hova Albion imetangaza kumsajili mshambuliaji Aisha Masaka raia wa Tanzania akitokea BK Hacken ya Sweden

Nyota huyo amewahi kupita timu ya wanawake ya Yanga SC na ni moja ya wachezaji wa kutegemewa wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania ‘ Taifa Stars’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *