Arteta akubali kusaini miaka 3, itakayomuweka Emirates hadi 2027

Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amekubali kusaini kandarasi mpya ya miaka 3 itakayomuweka kwenye Uwanja wa Emirates hadi mwaka 2027.

Mkataba wa awali wa Arteta ulikuwa unatamatika mwishoni mwa msimu huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *