Aubin Kramo Ageuka Dhahabu Sokoni

Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa nyota wa Simba SC Aubin Kramo Kouame anawaniwa kwa karibu na US Monastir pamoja na timu yake ya zamani ASEC Mimosas.

Inaelezwa kuwa nyota huyo ameshaambiwa na uongozi wa Simba SC hayupo kwenye mipango Yao msimu ujao hivyo yupo huru kuchagua sehemu ya kuelekea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *