chikao chikao

Simba

SITA WA SIMBA WAITWA TIMU ZA TAIFA

MASTAA sita wa Simba inayoongoza Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 wameitwa kwenye majukumu yao ya timu ya taifa kwa ajili ya kuwania kufuzu AFCON 2025. Ipo wazi kwamba Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwenye mechi mbili za ligi ambazo ni dakika 180 imekomba jumla ya pointi sita na safu ya ushambuliaji imefunga mabao saba kinara wa…

Read More

YANGA HESABU ZIMEHAMIA HUKU SASA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wamebainisha kuwa mpango mkubwa ni kupata matokeo kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Kagera Sugar. Huo utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Yanga inayonolewa na Gamondi ambaye alikuwa katika kikosi msimu wa 2023/24 na kushuhudia timu ikigotea nafasi ya kwanza na pointi 80 kibindoni. Agosti…

Read More