chikao chikao

MSEMAJI WA AZAM AFUNGUKA BAADA YA KUTUPWA NJE KLABU BINGWA

“Tumewaangusha Mashabiki wetu, Tumewaangusha Watanzania wote tumekuwa Aibu kwenye Taifa la watu mbele ya Team ambayo tunaiweza mbele ya Team ambayo tungeweza pata ushindi nyumbani na ugenini” “Hatujacheza vizuri hata kidogo mechi zote mbili kuna wakati lazima ukweli mchungu useme tumefedheheka mno. Timu yetu sio mbaya ina ubora wa hali ya juu lakini tumeondoshwa ugenini”…

Read More

Mashine ya SGR nje wiki mbili.

Daktari wa klabu ya Simba Edwin Kagabo amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Joshua Mutale raia wa Zambia atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili akiuguza jeraha alilolipata kwenye mchezo wa kwanza wa ligi. Mutale alipata maumivu ya nyama za paja katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United uliopigwa katika Uwanja wa KMC…

Read More