mwanahabari apigwa risasi

MWANDISHI WA HABARI KENYA APIGWA RISASI AKIWA KWENYE MAJUKUMU YAKE

Mwandishi wa habari wa Catherine Wanjeri Kariuki anayefanya kazi katika kituo cha Kameme TV kilichopo chini ya Mediamax Limited, amepigwa risasi na polisi wakati akiwa kwenye majukumu yake katika mji wa Nakuru nchini Kenya, akiripoti maandamano yanayoongozwa na vijana wanaofahamika kama Gen Z yaliyodumu kwa wiki kadhaa yakimshinikiza Rais William Rutto kuachia madaraka. Akiwa amevalia…

Read More

Ruto awashutumu Wamarekani wanaofadhili maandamano ya Gen-Z Kenya

Rais wa Kenya William Ruto akiwa katika hafla moja katika mji wa Rift Valley, Nakuru ameshutumu taasis binafsi kutoka nchini Marekani ya Ford Foundation inayofadhili maandamano na ghasia zinazoendelea nchini humo kwa wiki kadhaa sasa huku yakishuhudia makumi ya raia wakipoteza uhai. “Wale wanaofadhili machafuko katika Jamhuri ya Kenya, aibu kwao kwa sababu wanafadhili ghasia…

Read More