
Robertinho arejea Rayon Sports ya Rwanda
Klabu ya Rayon Sports ya ligi kuu Rwanda imethibitisha rasmi urejeo wa aliyekuwa kocha wa klabu hiyo na klabu ya Simba ya Tanzania Roberto Oliviera ‘Robertinho’ raia wa Brazil kuwa kocha wao mkuu. Rayon Sports wamemtambulisha nyota huyo wa zamani wa vilabu vya Flamengo, Fluminense na Atleico Mineiro za Brazl pamoja na timu ya taifa…