Ronaldo: Sitamuaga yeyote nitakapoiacha timu ya Taifa ya Ureno
Nyota wa Al-Nassr Cristiano Ronaldo amefunguka kuhusu mipango yake ya kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ureno, ikiwa ni siku chache baada ya kocha wa Ureno, Martinez kusisitiza kwamba nyota huyo wa zamani wa Manchester United, Real Madrid na Juventus bado ni sehemu ya kikosi chake kuelekea Ligi ya Mataifa ya Ulaya. Ronaldo anasema anachofikiria…