Diamond kuisimamisha Barcelona kwa ‘Show’ kali leo

Msanii maarufu zaidi wa muziki nchini Tanzania Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo usiku atafanya onyesho kubwa la muziki lililoandaliwa na Afrobrunch jijini Barcelona nchini Hipania.

 

Diamond ambaye kwasasa anatamba na ngoma ya ‘Komasava’ aliyowashirikisha wasanii wa kimataifa kama Jason Derulo wa Marekani, Khalil Harison na Chley Nkosi wa Afrika kusini atapanda jukwaani kwenye ‘shoe’ hiyo itakayoanza majira ya saa 12 jioni hadi saa 6 usiku.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *