KIBU AMKANA CARLOS “ALIJIPENDEKEZA TU, SIMJUI”

“Carlos alimtafuta Kibu amsimamie, Kibu aliona aibu kusema kwamba ana meneja wake (mimi). Carlos akaanza kuzungumza kabla ya ruhusa ya Kibu mwenyewe. Carlos baada ya kuona kwamba Simba hawamtambui yeye wananitambua mimi akaanza kuleta ofa za Kibu”

 

“Nilimwambia Kibu kama una mtu ambaye anaweza kukusimamia mimi nibaki kuwa mwanasheria, sawa tu. Ila akutafutie malisho kwenye timu za nje tu, ila mimi nikutafutie huku ndani ya nchi”

 

“Mechi za Simba zilikuwa zikiisha Carlos alikuwa anajipendekeza kwa Kibu ili aonekane ni mchezaji wake”

 

Yazid Alpha Meneja na Mwanasheria wa Kibu Denis

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *