Madrid wauza tiketi zote utambulisho wa Mbappe

mbappe kutambulishwa madrid

Klabu ya Real Madrid imemaliza mauzo ya idadi yote ya tiketi zilizoandaliwa kwaajii ya mashabiki kuhudhuria utambulisho wa nyota wao mpya kutoka PSG Kylian Mbappe kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu siku ya jumanne.

Mbappe atatambulishwa mbele ya mashabiki zaidi ya 85,000 atakabidhiwa jezi namba 9 baada ya namba yake pendwa anayoitumia Ufaransa na PSG kumilikiwa na Luka Modric.

Utambulisho wa Mbappe utahudhuriwa na wachezaji mbalimbali wa zamani na wa sasa wa klabu hiyo na viongozi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *