
Hii combination mtaomba poo..!Pacha bora ya EURO kukiwasha tena.
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Uhispania na klabu ya Athletico Bilbao Nico Williams huwenda akaungana na rafiki yake Lamine Yamal kuitumikia klabu ya Barcelona kuelekea msimu ujao wa mashindano. Mkurugenzi wa Barcelona Deco amekutana na Wakala wa mchezaji huyo ili kuangalia uwezekano wa kuipata kwa haraka sahihi ya mchezaji huyo kabla hajanaswa na klabu…