
Dabo atimuliwa rasmi Azam
Baada ya mfululizo wa matokeo mabaya kwenye ligi kuu Tanzania bara na michezo ya kuwani kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Azam leo septemba imefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wao mkuu Youssuph Dabo raia wa Senegal. Daboi ambaye amehudumu Azam kwa kipindi cha mwaka mmoja…