Kama vile Ambavyo Meneja Habari wa Yanga Ally Kamwe alivyosema kuwa leo wananchi ambao watanunua tiketi za Siku ya Wananchi ambayo itafanyika tarehe 4, ndivyo ilivyofanyika leo zoezi la uuzaji tiketi umefanyika na supu zikanyweka, picha za matukui hizi hapa chini.