Pochettino atangazwa kuwa kocha Mkuu Marekani

Pochettino

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Totenham Hotspurs, PSG na Chelsea Mauricio Pochettino ametangazwa kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Marekani kwa mkataba wa miaka miwili.

Pochettino ambaye aliondoka Chelsea na kumpisha Enzo Maresca amejiunga na USA akiliongoza Taifa hilo linaloandaa ombe la Dunia mwaka 2026.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *