Ronaldo: Sitamuaga yeyote nitakapoiacha timu ya Taifa ya Ureno

Nyota wa Al-Nassr Cristiano Ronaldo amefunguka kuhusu mipango yake ya kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ureno, ikiwa ni siku chache baada ya kocha wa Ureno, Martinez kusisitiza kwamba nyota huyo wa zamani wa Manchester United, Real Madrid na Juventus bado ni sehemu ya kikosi chake kuelekea Ligi ya Mataifa ya Ulaya.

Ronaldo anasema anachofikiria kwa sasa ni jinsi ya kuisaidia timu, lakini kustaafu kwake kutakuwa kwa kushtukiza na hatamwambia mtu yeyote kabla.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *