Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 31, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam July 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko imeshatoa ajira kwa vijana wapatao 570 ambao wanafanyakazi hapo huku akiongeza kuwa utakapo kamilika utatoa ajira elfu 30 katika nyanja mbalimbali. Waziri Ulega amesema hayo leo alipotembelea kukagua maendelea ya ujenzi wa mradi huo…
Mtoto wa mwigizaji Angelina Jolie, Pax Jolie-Pitt mwenye umri wa miaka 20 amepata ajali jioni jana Jumatatu wakati alipokuwa akiendesha pikipiki kwenye barabara ya Los Feliz Blvd Carlifonia Nchini Marekani. Kijana huyo ambaye ni mtoto wa nne kwa mwigizaji huyo alipata ajali hiyo baada ya kugongwa na gari nyuma na kusababisha kupata majeraha kichwani yaliyomuweka…
Dar es Salaam, Tanzania – July 30, 2024 – Jubilee Health Insurance, a premier provider of health coverage solutions, proudly announces the launch of its latest product, FBiz. This groundbreaking health insurance plan is specifically designed to meet the needs of Small and Medium Enterprises (SMEs) with 3 to 15 employees, offering customizable, family-oriented coverage…
Klabu ya Azam imepoteza 4-1 mchezo wao wa kirafiki dhidi ya klabu ya Wydad AC ya Morocco mchezo uliomalizika hivi punde. Mchezo huo wa mwisho wa Azam kuhitimisha kambi yao ya Benslimane Morocco ulianza saa 2 usiku na kushuhudia sare ya 1-1 hadi mapumziko huku Azam wakibamizwa magoli matatu kipindi cha pili na vijana…
Pitia kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania kitaifa na kurasa za kimichezo pamoja na gazeti la Michezo ya leo July 30, 2024 na ujipatie nakala yako kwa undani wa habari.
Mtalii mmoja amefariki na wengine 6 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana Julai 28, 2024 saa 10 jioni katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) leo Julai 29, 2024 gari hiyo ilikuwa na watalii 7 wenye asili ya China na dereva raia…
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana, ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika. Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema “Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda…