Manchester United kumuajiri Andreas Georgson kama kocha wa ‘set-piece’

Kocha Msweden, Andreas Georgson ambaye aliwahi kufanya kazi na klabu ya Arsenal anatarajiwa kujiunga na Manchester United hivi karibuni. Kwa mujibu wa ripoti kutoka Norway ambako kocha huyo anafanya kazi na klabu ya Lillestrom, Manchester United imeanza mikakati ya kumnunua ili aje kuwa kocha wa ‘Set-piece’ klabuni hapo. Taarifa zinasema kocha huyo anaweza kuigharimu Manchester…

Read More

SIMBA YAIGALAGAZA YANGA KWA KIUNGO HUYU

BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili Yanga Princess na kumnasa mchezaji huyo kwa mkataba wa mwaka mmoja. Amina aliwahi kuwa nahodha wa Yanga, iliyomnasa akitokea Msimbazi, kabla ya msimu uliopita kujiunga na JKT Queens. Awali Yanga ilikuwa ya kwanza kukamilisha karibu taratibu zote…

Read More