
Mume Amtaliki Mkewe Kisa Uzembe Kwenye Maombi
Mahakama moja katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja imevunja ndoa ya miaka minne ya wanandoa baada ya mume kuwasilisha ombi la kutaka ndoa ivunjwe akidai mkewe huwa hamheshimu kwenye ndoa. Kwa mujibu wa Shirika La Habari La Nigeria, Beshiru Mutairu alielekea mahakamani akitaka ndoa yake ya Kiislamu na mkewe, Amina, kuvunjwa kwa kukosekana kwa upendo…