
Ronaldo afungua akaunti ya Youtube na kupata wafuasi laki 3 ndani ya nusu saa
Nyota wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Ureno na vilabu vya soka vya Real Madrid, Manchester United, Juventus na Al Nassr Cristiano Ronaldo kwa mara ya kwanza amejiunga na mtandao wa kijamii wa Youtube na kuweka rekodi ya wafuasi zaidi laki 3 ndani ya nusu saa tu. Ronaldo amejiunga na mtandao huo leo 21…