LOMALISA ALIA NA YANGA KUMSALITI

LICHA ya kupata dili la kuichezea G.D. Sagrada Esperanca ya Angola, beki wa kushoto aliyeachwa Yanga, Joyce Lomalisa amelia na mabosi wa klabu hiyo ya Jangwani kwa kumwekea kauzibe kupata ofa nzuri kwa timu zilizokuwa zikimpigia hesabu kumsajili kabla ya Waangola hao kumrudia katika Ligi ya Girabola. Lomalisa alisema alikuwa anatamani sana kusalia Jangwani, lakini mambo yalitibuka…

Read More